Nina Shukuru, He Baba Wangu -
Nime Furahi, Leo Sana, -
Nimeku ona, Leo Mowla, -
Nimeku funga, moyoni mwangu - Nita kumbuka kila siku -
Sikuku ya Leo maisha yangu -
Naku omba, kwa moyo mwangu -
Niweke salama, moyoni mwako - Usikie vizuri, maimbo zangu -
Naomba kwako, neema yako -
Naku penda, na roho yangu -
Niweke salaama, moyoni mwako - Naimba leo, kwenye sherehe -
Kasida hizi, za sifa zako -
Lete Baraka, Nchi Tanzania -
Lete Baraka, Uganda Kenya -
Niweke salama, Moyoni mwako - Mowla wangu Karibu -
Mowla wangu Karibu -
Mowla wangu Karibu -
Mowla wangu Karibu -
VIDEOS RELACIONADOS